VUMA NA UONGOZI
Home
Samia Suluhu
MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI UINGEREZA DKT ASHA_ROSE MIGIRO LEO OFISINI KWAKE IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI UINGEREZA DKT ASHA_ROSE MIGIRO LEO OFISINI KWAKE IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Balozi wa Tanzania Nchini Uingereza Dkt Asha _Rose Migiro kabla ya Mazungumzo yao Ofisini kwake Ikulu Jijini Dar es Salaam Tarehe 19/05/2016
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia suluhu Hassan akiwa kaitka Mazungumzo na na Balozi wa Tanzania Nchini Uingereza Dkt Asha_Rose Migiro alipokwenda Ofisini kweke leo Ikulu jijini Dar es Salaam Tarehe 19/05/2016
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa katika Picha ya pamoja na Balozi wa Tanzania Nchini Uingereza Dkt Asha_Rose Migiro leo Ikulu Dar es Salaam Tarehe 19/05/2016
EmoticonEmoticon