Bado michuano ya mataifa ya Ulaya maarufu kama UEFA Euro 2016, inaendelea tenaUfaransa kwa michezo mitatu kupigwa katika viwanja mbalimbali, mchezo wa mwisho kuchezwa kati ya Ujerumani dhidi ya Ukraine ndio mchezo uliokuwa unatarajiwa kutazamwa na mashabiki wengi.
Ujerumani ambao walicheza mchezo wao kwanza wa Euro 2016 walifanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 2-0, magoli ambayo yalifungwa na Shkodran Mustafi dakika ya 19 na Bastian Schweinsteiger dakika ya 90, huu ni mchezo ambao ulionekana kama wa upande mmoja.
Matokeo ya mechi za Euro 2016 zilizochezwa J
EmoticonEmoticon