YALIYOJIRI LEO MJINI ARUSHA KWENYE MAHAFALI YA WAHITIMU WA CHUO KIKUU CHA ARUSHA

Mhe. Vuma akiwa jijini arusha katika chuo kikuu cha Arusha kwenye mahafali ya vijana wa CCT na hapa akiwa anapanda mti kama kumbukumbu

 Mhe Vuma (mb) akikabidhi vyeti katika mahafali ya wanachuo wa chuo kikuu cha Arusha yeye akiwa ndiye mgeni rasmi katika mahafali hayo.

 Mhe Vuma Augustino (mb) mgeni rasmi akipanda mti kama ishara ya kutunza mazingira mjini Arusha mapema hivi leo

 Miti ni Uhai hivyo hatuna budi kuitunza 

 Mmoja wa wahitimu katika mahafali ya CCT chuo kikuu cha Arusha akipokea cheti toka kwa mgeni rasmi Mhe. Vuma Augustino (Mb)


Mwana CCT toka chuo kikuu cha Arusha akipokea cheti cha Pongezi toka kwa Mgeni rasmi Mhe. Vuma Augustino (Mb) mapema hivi leo
Latest


EmoticonEmoticon