Vuma Augustino (akiwa Bungeni kuwakilisha wananchi wa mkoa wa kigoma mapema leo jioni)
Kamanda wa ukweli kwa maendeleo ya wananchi wa Jimbo la Kasulu Vijijini Ndg. A. Vuma
Moja ya hotuba alizotoa Mhe. Vuma Augustino (Mbunge wa jimbo la Kasulu Vijijini wakati akizungumza na wasomi wa Vyuo vikuu nchini (shirikisho) - mjini Dodoma
Mhe Mbunge akiwa jimboni kwake katika kusikiliza na kutatua kero anuai jimboni kwake
Mhe Vuma akiwa nchini India katika Mkutano wa wabunge vijana duniani ambapo alikuwa ni miongoni mwa wasemaji wakuu katika mkutano huo akiwawakirisha wabunge vijana toka nchini Tanzania.
Mhe mbunge wa jimbo la Kasulu vijijini akiwa katika mwonekano wa kipekee mara baada ya kuwahutubia vijana wenzake katika mkutano wa wabunge vijana wa kimataifa uliofanyika hivi karibuni nchini India.
Moja ya hotuba za Mhe Vuma Augustino (Mb) nchini India
Moja ya mikutano anayoendelea kuifanya jimboni kwake katika kuhakikisha anasikiliza kero za wananchi wake na kuzitafutia ufumbuzi
Hapa kazi Tu.
Mhe. Vuma akiwa katika studio za Radio tayari kwa ajili ya mahojiano maalumu
Picha ikionesha namna ambavyo alikuwa anahojiwa na kituo kimojawapo cha Habari hapa mjini Dodoma.
Mhe. katika muonekano wake tayari kuelekea kazini kwa ajili ya kutimiza wajibu wake kwa wananchi na serikali kwa ujumla
Mhe. Mbunge akiwa nje ya ukumbi wa bunge mara baada ya vikao vya bunge kumalizika mapema hivi leo
Mhe. Mbunge akiwa Jimboni kwake - Kasulu
Mhe Vuma katika picha ya pamoja na Mhe. Mkuu wa wilaya ya kinondoni Ndg. A.S Hapi
Mhe. Vuma akiwahutubia maelfu ya wananchi waliomiminika katika moja ya mikutano yake aliyoifanya jimboni kwake (kasulu vijijini)
Mhe mbunge akipata ushauri kutoka kwa wazee
waacheni watoto wadogo waje kwangu.... ama kwa hakika Mhe. mbunge ameonesha namna ambavyo yuko bega kwa bega na wananchi wake katika kuwaletea maendeleo kwani hata watoto wadogo ameonesha kuwapenda na kuwajali - hongera sana mhe Mbunge
Mhe. Mbunge akishiriki shughuli za ujenzi wa Taifa sambamba na wananchi wake
Mhe. Mbunge akiwa nchini Marekani
Mhe. Vuma Augustino akiwa nchini Zimbabwe akihutubia vijana wa chama tawala.
kama kawaida mhe mbunge akiwa katika shughuli anuai za kijamii
Mhe. Mbunge akihutubia katika mkutano wa Waziri Mkuu Mhe. Kasimu Majaliwa jimboni kasulu
Mhe Vuma akiwa na wamama wajasiliamali aliokutana nao mara baada ya kuzuru jimboni kwake
1 comments:
I would like to contact with mr. Vuma
EmoticonEmoticon